Ipe Maneno.

Ipe Maneno.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
wp_ss_20160720_0002.png
 
Hapo wanajiandaa kumtahiri tembo, kisha asafirishwe hadi dubai.
 
Ni wale wale wamekula mahindi yangu acha wafe
 
Tushukuru hakuna kifaa cha kuingoa TZ na kuipakia hadi sehemu nyengine
 
Magufuli ashindwa kumtumbua Kinana

Habari zinasema, “uamuzi wa kumbakisha Kinana kwenye nafasi yake, haukuwa wa Magufuli. Ni shinikizo la viongozi wakuu wa CCM wakiongozwa na Benjamin Mkapa,” anaeleza mmoja wa viongozi wandamizi wa chama hicho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom