Ipe maneno...

MasterP.

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
8,263
Reaction score
6,827
Haya si maigizo wala photoshop..,
Hivi karibuni mtemi huyu alikuwa akifanya ziara nchini mwake na alipofika sehemu fulani aliamua kuusimamisha msafara wake, kushuka na kuchukua kiti chake na kukaa pembeni ya barabara ili kupokea simu aliyokuwa akipigiwa...
Alizungumza kwa simu hiyo kwa dakika kadhaa huku akiwapungia mkono wanakijiji na watu waliokuwa wakipita na kushangaa wasiamini kilichokuwa kinaendelea...
 
Asee hv mkuu likachoropoka linyoka nyuma yake sipati picha itakuwaje[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 

anawapenda wananchi wake ndio maana wanajipanga foleni

pia hata michezo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…