Sidhani kama CCM ni wauaji, tatizo ni wananchi wenyewe MAMBURULA!? ni sisi wenyewe ndio tuliowapa dhamana kwa kulaghaiwa kama watoto. Mwache huyo mtoto alale chini mpaka apate TB, may be one can learn a lesson of this languishing state!
Mi naona huyo dogo wa chini atakuja kuwa jembe na mpiganaji kuliko huyo aliyevikuta.
Mean: atakae notice advancement ya from poor to better one huyo ndo ataprove context ya what is development!
Hilo dogo la juu litakuwa mchelemchele na kutafuniwa kwingiii!