Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Unaogopa nini mkuu?Mzizi mkavu uwe unaweka warning basi jamani, aagh!
Ni kweli kabisa mkuu!Tambiko.
Utajiri ndiyo mpango mzima hapa Duniani!Nayeye anatafuta utajiri
Mganga mhindi, mteja mzungu, haya mambo yanafanyika ulaya au india
Teh teh teh1naona hapo pembeni huyu jamaa yake akishuhudia kinachoendelea!Kilichofuata hapo ni kuliwa uroda!
Mkuu Dunia inaelekea mwisho wake!Ushirikina uliotukuka...This is a process of making a pact with Devil. Period!
Mkuu kwa sasa Dunia imeshakuwa kama kisiwa,watu mbalimbali ukutana maeneo mbalimbali kubadilishana uzoefu!Mganga mhindi, mteja mzungu, haya mambo yanafanyika ulaya au india
Teh teh teh!wanawaingizia nyoka mkubwa au mdogo?eti Mpwa wangu MziziMkavu hua wanaanza kuwaonyeshea Nyoka hivyo hivyo mwisho wanawaingizia "nyoka"
Dunia hadaa,ulimwengu shujaa!Ushilikina kazini....
Teh teh teh!wanawaingizia nyoka mkubwa au mdogo?
MziziMkavu yupo kazini