IPE MANENO PICHA YANGU UNAWEZA KUAMINI? WANAWEZA KUNYWA PAMOJA HAWA WANYAMA?NI KWELi?

ngoja nimalize kunywa maji na nitoke baruti maana huyu mjomba akianza kumaliza yeye itakuwa bonge la noma.
Nalog off
 
1. Asiye na jema kwakwo mara nyingi huwa anakukebehi..anapenda kuwa kuwa karibu kumbe ana lake jambo


2. Chelewa chelewa utakuta mwana si wako....(upatapo nafasi katika jambo (mahusiano/kazi/biashara) tekeleza as opportunities never comes 2.

3. Ukutanapo na jambo la kutisha tulia huwezi jua kwamba mwenzako (simba) naye ana matatizo/woga wa hali ya juuuuuuuuuuuu
 
HAPA SASA MNAWEZA KUUONA TYPICAL MFANO WA URAFIKI BAINA YA CCM NA WATANZANIA, CCM NDO SIMBA, JAMANi CCM MTUACHE, YATOSHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…