Ipe maneno picha yangu umeona nini hapo?

Ipe maneno picha yangu umeona nini hapo?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
attachment.php
 
Bora kuliwa na mamba anakula huku analia kuliko mabweha hao!
 
Tutasubiri hadi kuche...hao ni mbwa wanakula gadi hadi kielweke
 
Ivi speed ya ngiri mnaijua? apo atatoka baluti wataona vumbi tu hao
 

hawa wanaitwa askari wa pori,simba anawajua hawajamaa timbwili lao..kuna video moja ya wanyama niliona walivo mfanya mzee mzima simba,na walivo weza kumtafuna nyati kwa style yake
 
Principles nikula na kujifuta damu ukikutwa na damu na wewe wanakusuktua!
 
Ngiri karuka mkojo kakanyaga mavi.
Amekimbilia majini kuepuka jeshi M23,kumbe kuna silent Killer ananyatia!!
 
Aha Aha AhA Aha Kama Mimi Najiua Aha Aha Roho Yangu Ipeperuke, mamba Akose Fisi Akose Wote Twapata Nini Aha
 
huyo sio mamba aisee!! hayuko uelekeo wa wa windo lake!! hapo hawezi kujibinua kukamata windo!!

otherwise alikosea mbinu za uwindaji!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom