Ipe maneno picha hii

Huyo jamaa kapatamani hapo kwaajili ya mazingira mazuri ya kuvutia bange ila ana uwezo wa kununua kiwanja sehemu nzuri ni kujenga.
 
Hivi kwa mazingira kama hayo kwa nini watu wasitumie hayo mawe kujengea nyumba ambazo ni imara na zakuvutia pia gharama zitakiwa nafuu zaidi
Au ndiyo tumeshajengewa mfumo ambao hatuwez kuwaza tofauti
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom