Ebwana umeiona hii hali ilivyochafuka? Mambo yameharibika aibu tupu!...... ndugu yangu umakini ktk kazi unahitajika kwa asimilia mia moja! Ukiteleza tu utaaibika kaka! NASSOR JANGWA MTANDAONI.
msu>> unasikia bwana mdogo..... pin>> ehe msu>>enzi zetu hatukuwa wasanii kama ninyi...... pi>> acha hizo!! msu>> ndio nakueleza !!...tulikuwa tuna nidhami ya kijeshi katika utendaji wa kazi.... msu>>pia tulikuwa tunaheshimika sana tofauti na ninyi vijana wa leo. pi>> mkuu hapo unaniongopea!!..ina maana mlikuwa hamjivui magamba??? msu>> mambo kama hayo hayakuepo kabisa...mfano..ukila...rushwa.....unachapwa viboko 12 kabla ya kuingia jela..na baada ya kifungo unachapwa tena viboko 12. pi>> duh! Hilo kwa sasa gumu sana mheshimiwa, maana watachapwa wengi...ndio maana tunajivua magamba!!
Msuya: Uongozi na serikali yenu vinanuka si puani tu bali hata masikioni.
Pinda: Mheshimiwa mzee, sijakuelewa. Ni fumbo umenipa. Naomba nisaidie.
Msuya: Serikali yenu mlivyo ni kama mtu mzima mzima aliyetoa ushuzi kati ya wenzake mliokaa katika maongezi. Akiingia mgeni mara, kwa atasikia harufu ya mnuko kisha akiwaangalia usoni kila mtu ameukunja uso. Ni mwenye ujasiri, mmoja ama wawili, tu ndiye anayeweza kuendelea na mazungumzo.
Wapo walio**mba, nyote mnanuka. Suluhisho si kunyamaza kimya bali ni kumtafuta na kumfukuza kama hataki kujiondoa kwenye kijilinge chenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.