Huyu mzee wa watu kajivua nguo hapa..HakyaMungu. Waangalie Steve na huyo mwingine.
Ila JK kwa kutupia viwalo hajambo na vinamtoka kweli kweli tofauti na director utafikiri mkulima wa mpitimbi.
Huyu MZEE hawezi kutokea kanda ya ziwa , nyanda za juu kusini au kaskazini