Ipe maneno Picha hii

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
18,861
67,351
CfbrN1XWsAA9LSp.jpg
 
dem kaharibu, anaomba mshamaha. jamaa haamini kilichotokea, lakini anaonekana anampenda sana huyo mpenzi wake. anawakati mgumu sana huyu jamaa. NOTE: Jamaa anaupendo wa kweli katika mahusiano, mdada mwizi tu
 
Jamaa anawaza mechi ya Arsenal jinsi walivyodungwa demu yuko busy kulialia mapenzi akidhani anasikilizwa.
Kumbe jamaa mawazo yako kwa Wenger

Au picha hii ilipigwa siku Simba ilipolambishwa 2-0 na YANGA. Jamaa anawaza namna Hassan Kessy alipoharibu mambo kwa kurudisha mpira kwa golikipa ambao uliwahiwa na Ngoma.
 
Baada ya kufukuzia kwa muda mrefu, leo kahadiwa mechi.. kufika, anajikuta kapoteza funguo za geto... kumbe aliyezitupa ni mwanamke akidhani ni culture...
 
Nitampata wapi kama yule mwenye tabasamu kama lile, anipende nami nimpende awe wangu maishani, shida zake ziwe zangu ,shida zangu ziwe zake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom