Ipe maneno picha hii ya Waziri Mkuu Mstaafu

Ipe maneno picha hii ya Waziri Mkuu Mstaafu

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
12312571_10153569783829504_1285930369_n.jpg
 
Hio glasi ya mvinyo inafanya nini hapo au imepotea njia
 
Huyo jamaa yuko fiti ki msosi
Hana shida kila kitu analima na kula yeye mwenyewe!!! Mpaka Asali anazo.
 
Pumzika tu, kasi hii ungelialia tu,
 
Huyu ni kiongozi aliye staafu. Tumpe heko zake.

Lakin tuseme kweli jk amemlinda sana huyu jamaa, kuanzia operation tokomeza, escrow ,amesurvive kibishibishi sana ,kama sio jk tungekuwa na pm watatu kwenye huu utawala
 
"Enzi zetu hizo" Waziri Mkuu mstaafu ndivyo ambavyo anamkumbusha mtu wa kwao. Naamini hicho ni kitendo cha kuigwa kwa jinsi walivyotulia kwa kujiamini.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom