Ipe maneno katuni hii ya DW

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
857
Reaction score
1,653
Katuni ya DW imeonesha inahusu hali ya kisiasa nchini Uganda kuelekea katika uchaguzi mkuu kesho huku kukiwa na malalamiko ya kukatwa kwa huduma ya internet katika nchi hiyo, Rais Museveni akipambana kubaki katika kiti cha urais. Je yapi matarajio yako kwa uchaguzi huo wakati huu muda ukiyoyoma?​


 
Mama anajibu:
Sasa baada ya kuzima anza kuua, vijana wagonge mageti na kumimina risasi hasa nyumba za wafuasi wa yule Kijana, ila msiache maiti, hakiKisha mashimo ya halaiki yapo tayari, nadhani unaelewa nini cha kufanya na hayo mashimo.
byee
 
 
Ndege wafananao...
Lila na fila...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…