Indume Yene Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 2,968 Reaction score 727 Jan 18, 2012 #1 Si rahisi kujua ni nini Mbowe alikuwa akisema hapa na ku-create mazingira ya jirani yake kuwa na sura hiyo. Kikao kilikuwa ni kuandaa ratiba ya mazishi ya mpiganaji wetu marehemu Mtema. Weka maneno katika picha....karibu.
Si rahisi kujua ni nini Mbowe alikuwa akisema hapa na ku-create mazingira ya jirani yake kuwa na sura hiyo. Kikao kilikuwa ni kuandaa ratiba ya mazishi ya mpiganaji wetu marehemu Mtema. Weka maneno katika picha....karibu.
kopuko Senior Member Joined Oct 24, 2011 Posts 180 Reaction score 58 Jan 18, 2012 #2 acha kurudia uzi wewe,,pitia za jana watu walishaweka hii
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 678 Jan 18, 2012 #3 kopuko said: acha kurudia uzi wewe,,pitia za jana watu walishaweka hii Click to expand... mwambiee!!
Nambe JF-Expert Member Joined Jan 18, 2011 Posts 1,451 Reaction score 534 Jan 18, 2012 #4 huyo mwanamama hapo ameniacha hoi, ni kama alikuwa anamtukana mbowe kimoyomoyo
driller JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 1,116 Reaction score 246 Jan 18, 2012 #5 Nambe said: huyo mwanamama hapo ameniacha hoi, ni kama alikuwa anamtukana mbowe kimoyomoyo Click to expand... hakuna kitu kibaya kama hicho wazeee..!
Nambe said: huyo mwanamama hapo ameniacha hoi, ni kama alikuwa anamtukana mbowe kimoyomoyo Click to expand... hakuna kitu kibaya kama hicho wazeee..!
nguvumali JF-Expert Member Joined Sep 3, 2009 Posts 4,927 Reaction score 1,342 Feb 16, 2012 #6 BASI NA HII IPENI MANENO
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Feb 18, 2012 #7 Kulikoni tena bi kroboto anapothubu kucheka huku anazima hoja za msingi kwa wTz bungeni