Two weeks ago nilikaa masai club kwa nje pale meridian. ...pembeni alikaa mkaka hivi mpaka nigeuke ndio namuona vizuri. Nilikua bwax na bendi live walikua na weledi fulani kila wakati najikuta naenda kutunza......sasa bana kuna mida niligeuka kumcheki jamaa ....alinipa pozi hilo...na kasauti kembamba ka kianti eti mambo. ...hahahha nikajuta kwanini niligeuka...huu mchezo umekua halali kabisaaa
Kwa mtu yeyote asiyemjua Master plan basi huyo jamaa anayenyolewa kafanana sana na mimi. Sema mimi huwa nanyoa dongo halafu naacha timberland la hatari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.