S SURUMA JF-Expert Member Mar 22, 2011 2,892 1,065 Feb 23, 2016 #2 Nyie vipi?? Nimekwisha waambia sipendi ugomvi
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Feb 24, 2016 #4 Mmezoea mshenzi wewe! Na tunakusubiri hapa mpaka ushuke!
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Feb 24, 2016 #6 mtachinga sana wiki hii yote lakini mnastahili sifa ila sio kuabudiwa
kani mkali Senior Member Dec 18, 2013 121 64 Feb 24, 2016 #7 Hapo haja Kubwa na Ndogo kwa pamoja...LAZMA
real G JF-Expert Member Feb 7, 2013 5,227 5,292 Feb 24, 2016 #10 huyu ndio wanamuita eti mfalme hahaaaa, mfalme kajikojolea mbele ya wananchi kwa woga
GENTAMYCINE JF-Expert Member Jul 13, 2013 59,949 119,214 Feb 24, 2016 #11 salaniatz said: Click to expand... Hakuna Simba Anayeweza Kuwa Mwoga Hivyo. Nina Wasiwasi Na Hiyo Picha! Simba Huyu Huyu Tunayemjua Eti Leo Awaogope Hao WANYAMA MAPOPOMA Hapo? Siamini!
salaniatz said: Click to expand... Hakuna Simba Anayeweza Kuwa Mwoga Hivyo. Nina Wasiwasi Na Hiyo Picha! Simba Huyu Huyu Tunayemjua Eti Leo Awaogope Hao WANYAMA MAPOPOMA Hapo? Siamini!
Zamiluni Zamiluni JF-Expert Member Feb 11, 2014 13,997 15,111 Feb 24, 2016 #17 Mwenye ubavu anifuate, hamunipati !!!
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,268 69,513 Feb 24, 2016 #20 simba:jamani msaada jamani msaada mixer yowee uuuuuwiiiiiii...!! nyati:tulia ww leo ndo utajua akuna mkate mgumu mbele ya chai...
simba:jamani msaada jamani msaada mixer yowee uuuuuwiiiiiii...!! nyati:tulia ww leo ndo utajua akuna mkate mgumu mbele ya chai...