Ipe Habari Picha hii

Hii picha inaonesha kama ni ya enzi zilee.kwanza walikuwa wanakunywa pombe ni kama vile ulanzi,disco lenyewe linapigwa kwenye vumbi halafu kimdada ndo kinapiga muhuri vile.wana jf changieni
 
Huyu ni Mkwele akicheza disco wakati wa ujana wake,akiwa na mke wake wa kwanza!!
 
Huyu ni Mkwele akicheza disco wakati wa ujana wake,akiwa na mke wake wa kwanza!!

ha ha ha, mkwere alikuwa analisakata rumba enzi hizo - welcome form one nini?
 
aisee nimependa usafiri wa mamsapu ni super ki noma - origino - ha ha ha
 
Hapa walikuwa wanacheza chacha- rumba - cheki miondoko ya miguu yao - wakati huo hakuna shuruba za maisha wala kuhofika mabomu na vibaka - si unaona hata dada ameacha pima joto yake mezani.
 
inde moniiiii inde moniiii inde moniiii yeye
 
inde moniiiii inde moniiii inde moniiii yeye

eh bana babu hili nyimbo lilipigwa siku hiyo namaliza primary LY,wacha bwana kuna ticha mmoja alikua mnoko sana kwangu lakini siku hiyo kanifata wacha tucheze hilo inde monii,ticha anakatika na kuniletea booty kunako muwa,basi uadui wote uliisha siku hiyo.:decision:
 

Au 'azalaki awa pembeni na ngaa esika akeyi....................'
 
Wanawake wamekuwa watu wa kunyanyaswa tangu enzi za kale, hii sijui ndio harusi, bwana kavaa viatu bibie anatwanga na kupepeta pekupeku!

hahahaha wanajinyanyasa wenyewe,mpaka viatu unasubiri ununuliwe!
 

hahahahahahah babu k umeua:wink2:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…