ipad2 blackberry and iphone kwa bei poa kabisa

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
nimeingiza mzigo mdogo kipindi hiki Ipad2 16gb mpya kwa 1,050,000. Bb9800 kwa 550,000, iphone 4 kwa 850,000, bb9780 na curve. kwa sasa ni hizo tu mzigo mwingine mkubwa utaingia katikati ya mwezi huu na mwisho wa mwezi karibuni. interested call 0714500004
 
Nimekuwa interested but kwa sasa nipo kwenye recession
 
nimeingiza mzigo mdogo kipindi hiki Ipad2 16gb mpya kwa 1,050,000. Bb9800 kwa 550,000, iphone 4 kwa 850,000, bb9780 na curve. kwa sasa ni hizo tu mzigo mwingine mkubwa utaingia katikati ya mwezi huu na mwisho wa mwezi karibuni. interested call 0714500004
Ipad 16GB kwa bei hiyo sio...
 
Hivi US$ 550 ni sh ngapi, coz nimenunua Ipad2 same gigs kwa bei hiyo. (around 900,000)
na pia hiyo iphone 4g kama iko unlocked poa lakini kama sio gharama za kuiunlock hapa bongo bado ni juu TZS 350,000/=
 
"mafundi" wengine wezi kweli!
 
Everything is unlocked usiwe na wasi iphone nikikupa moja kwa moja unaanza kutumia alafu gharama za kunlock sio ghali ivyo siku nyingine ukitaka ku unlock niulize nitakuelekeza pa kwenda. Techies are getting advantage of Tanzanians ready for new technology
 
Back
Top Bottom