Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
iPad yangu toka nimeizima haitaki kuwaka tena., toka nilipo izima ilinichukua week 2 kuja ku iwasha, kila nikiwasha haiwaki. Nikiweka charger haineshi kitu. Mwenye wazo au ushauri anisaidie
jaribu kucheck na ipad support wanaweza kukujulisha hilo tatizo au ipeleke pale shoppers plaza istore Dar..
restart or reset
Ok! asante kaka nimekuelewa, hawa iPad supporter kwa hapa dsm wanapatikana maeneo gani
nenda hapohapo istore dar shoppers plaza watakusaidia..
nenda hapohapo istore dar shoppers plaza watakusaidia..
Mkuu, IPad yako ni ya ukweli au ni mchina?
Mda kama huu pako wazi?
iPad yangu toka nimeizima haitaki kuwaka tena., toka nilipo izima ilinichukua week 2 kuja ku iwasha, kila nikiwasha haiwaki. Nikiweka charger haineshi kitu. Mwenye wazo au ushauri anisaidie
atoe battery na kuBoost kwenye nini??heheheeee :A S-confused1:toa battery kwenye simu iboost kama dk10, kisha iwashe
atoe battery na kuBoost kwenye nini??heheheeee :A S-confused1:
sina hakika kwa hilo la muda..
atoe battery na kuBoost kwenye nini??heheheeee :A S-confused1: