Ipad pro is it worth it ?

Noel Ngiama Makanda

JF-Expert Member
Oct 14, 2018
1,782
3,095
Naombeni ushauri maguru wa gadgets, ninafikiria kununua ipad pro, nataka device ya pili mbali na laptop yangu. Swali linakuja, is it worth it? na kama nikinunua, nichukue ipi kati ya WIFI only au WIFI+Cellular? Kuna utofauti wowote(wa kimatumizi) kati ya 2017 na 2018?
 
Naombeni ushauri maguru wa gadgets, ninafikiria kununua ipad pro, nataka device ya pili mbali na laptop yangu. Swali linakuja, is it worth it? na kama nikinunua, nichukue ipi kati ya WIFI only au WIFI+Cellular? Kuna utofauti wowote(wa kimatumizi) kati ya 2017 na 2018? kuna mtu kanilipa deni la miaka minne, nilikuwa nimelisahau kabisa, kwa hiyo nataka nijipe zawadi kidogo.
Ma ipad ni matakataka tu ni sawa na iphone in a big screen. Ila kwa kazi ndugu sawa chukua 2018 iko more smooth. Katika kutumia haya makitu naona microsoftsurface pro4 is far better. Chukua wifi + cellular uepuka kuwa watumia hotspot kila mara
 
Shukrani kwa ushauri mkuu. Maana naona nikichukua surface pro itakuwa kama Nina laptop za aina moja mbili. Nataka device ya Apple. Sema sasa Nina wasiwasi naweza hata nisiimie
 
Back
Top Bottom