Ipad-msaada

KISHINDO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
2,213
Reaction score
1,981
Salaam wanajamvi!
Naomba mnisaidie jinsi ya kuweka program ktk Ipad na nifanyeje kuepukana na virus?
Jambo jingine ni hili-ni programs gani ni nzuri kwa Ipad?
Ntafurahi sana nikipata msaada wako. Ahsante
 
Mkuu Ipad original from apple, tayari inakua na vitu muhimu vya kukufanya wewe uweze kuitumia. Ingawa programs nyingi ambazo zina run kwenye window os, haziko compatible na ios(Operating system from apple). Sana sana unaweza download several applications from apple store na kuinstall kwenye ipad yako ili uweze kufanya vitu basic kama kufungua,kuedit na kucreate word, excel nk.
 
si rahs Kupata Virus Kwenye I Pad, I phone, i pod!! kuhusu Ku Install App Kuna sehemu Imeandikwa Appstore Ina Icon kama hii

Ahsanteni wataalam kwa ushauri wenu mzuri. Ni Ipad ya Apple nimeipata jana toka Germany na unajua vitu hivi kabla hujaanza kutumia ni vyema kuomba msaada toka kwa wataalam. Naomba kama kuna mwingine mwenye ushauri asisite, anishauri tu. Ahsanteni sana wana Jamii Family.
 
It depend wewe unapenda nini kwa kwa ajili gani, jaribu hizi. Bonyeza App Store icon kisha nenda search na uandike jina la app unayotaka, kisha bofya install

Opera Mini au UCwebrowser. hizi ni browser zinafanya vizuri kuliko browser ya Ipad

Facebook
Tweeter
Instagram
Whatssap
Jamiiforums
Kama wewe ni mpenzi wa mitandao ya kijamii anza na hizo

Nb
Nyingi ya apps nzuri zinauzwa unabidi ufungue acc pay pal na ulink kadi ya banki yako yenye visa au master card ili uweze kununua
 
Thanks sana Mayu.
 
unless u ijailbreak hakunaga whatsapp kwa i pad... Na si unajua huwez install app nje ya store.. Ingekua androids ingekua rahs
 
unless u ijailbreak hakunaga whatsapp kwa i pad... Na si unajua huwez install app nje ya store.. Ingekua androids ingekua rahs

Ahsante kwa ushauri wako. Pia napenda kukujulisha kuwa Ipad niliyonayo inayo Android application mkuu
 
Ahsante kwa ushauri wako. Pia napenda kukujulisha kuwa Ipad niliyonayo inayo Android application mkuu

basi Hyo Sio I Pad!! i pad Lazma Iwe imetengenezwa Na Kampuni Ya Apple na inatumia IOS sio androids!!! hivyo Vitu Vinaitwa Tablet.. Na sio kila Tablet ni I Pad!! Kama n androids bas Antivirus Znahusika sana!! Maana Malware na trojans wengi sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…