Nauza ipad mini mpya jamani
Storage ni 16gb
Model MD534LL
Version 6.0.1
Bei ni laki tano tu. Tunaweza ongea kidogo. Ni mpya ndani ya boksi lale na kila kitu chake.
Karibuni jamani
Nadhani tulipost kwa wakati mmoja, maana wakati natuma nilikuwa sijaiona reply yako. Kwasasa nipo mbali kidogo nikirudi mwanzoni mwa mweiz ujao nitajaribu bahati yangu. Lakini nitakuomba ushuke kidogo kama itakuwa si mbaya sana kwako.

Mweeeh!...bei ya iPad 3, 32Gb, 4G, mpya kabisa dukani ni 1.3M, kwa wajasiriamali ni Laki8, used mpaka lak 5.5, sasa mkuu hiyo bei mbona balaa! Usipige hesabu ya wewe ulivyoinunua miaka hiyo, angalia market price ya wakati huu!