ina camera?
Haina camera ndugu yangu. Ila believe me, primary role ya iPad au tablet yoyote sio kupiga picha, hizo ni additions tu na kimsingi sio muhimu sana maana mtu inakuwa na camera kwenye simu, au camera yenyewe. Ila kuanzia iPad 2 zina camera ndugu.
Kwanini kuanzia kwenye ipad 2 wameweka camera?
Hivi kumbe ipad one bado zipo?
peleka makumbusho tafadhali
Sio makumbusho mkuu, ampelekee babu yake kule nanjilinji akaitumie. Version ya kizamani Nani anunue?
Cha ajabu iPad unasema version ya zamani wakati usikute hata soksi hapo umevaa mtumba. Mbona nimepata mnunuzi kwa pungufu ya elfu 14 ya bei niliyoanza? Tatizo miafrica ndivyo tulivyo always negative thinking!
Haya ndugu najua ulikuwa unaombea nikose.
Miafrika ndivyo tulivyo, myeusiiiii mpaka kumtima! Sasa ukitukana unapata heri gani kama sio upunguani?