ipad au iPhone 10"?

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
19,036
49,642
mbona iPad ni kama iPhone tu yenye screen kubwa? tofauti gani iliyopo hapa? nadhani tablet ya surface ya Microsoft italeta upinzani kidogo.....
 
surface sizani kama italeta upinzani manake microsoft wamekuwa na tablet tokea 2000 na zimekuwa zikidoda tuu. Hizi zimekuja na ni wifi only yani ndo kama wameanza kutambaa wakati wengine washaanza kukimbia sasa sijui microsoft atawafikiaje!
 
anataka kujua tofauti ya iphone na ipad ukiacha tofauti ya screen sizes zake. Yeye anaona zinafanana tuu
 
mbona iPad ni kama iPhone tu yenye screen kubwa? tofauti gani iliyopo hapa? nadhani tablet ya surface ya Microsoft italeta upinzani kidogo.....

ur right mkuu ipad ni iphone yenye screen kubwa sababu os ni moja.

Na surface sio kwamba italeta upinzani mkuu imeshaleta na zimeuza copy zote za marekani zaidi ya siku 1.

Surface pro itakua na uwezo wa kulaunch desktop app za window so unaposema surface imefeli/itafeli unamaanisha kua computer zote zenye window nazo zimefeli.

Surface inakuja ipo preloaded 10gb za app za bure ikiwemo microsoft office 2013 there is no way apple akasurvive this

Na apple kutoa ipad mini ya 7inch ni techinic kumuepuka microsoft sababu hana 7inch tablet.
 
mmh kaka i heard ni more than fire, via gsmarenA.com
 
yup, sijaona tofauti.. labda ukubwa wa screen tu.
 
ebhana ndio kaka Chief, ila kuna kitu naomba nkuulize. wanavosema surface itaweza run software za pc, je naweza chukua mfano VLC setup ktk laptop yangu nka install ktk tab ya surface pro? au wanamaanisha nn? pia vipi windows 8 itakua na store yake ya kununua au? connectivity nimeskia ni wifi only, mh ilo sio tatizo kutosupport 3g?
 
Yah ni kama vlc (kwa pro) maana zipo tablet mbili surface pro na surface rt.

Unajua ipad nyingi zinatumika maofisini ambapo wanakua na network zao tu wenyewe na ndio surface itakapoenda kutumika ndo mana hata surface zina built in intranet kucomunicate maofisini.

Then ntakuuliza swali pia computer za kawaida zina 3g? Just zina usb port kwa kueka modem, same here kwenye surface itakuepo
fca39a0f-5a81-492e-846c-0787f6573a45.jpg
 
aaaah haya kaka, hazina 3g but zina USB port tu. si unajua tunaulizia sim card slot coz tz wireless tatzo. sio km wenzetu hiyo ni uduma ya lazima km maji au umeme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom