Washwahili bana ukiweka bei kubwa shida,ukiweka bei ndogo mchina,jamani hili ni soko huria bei inategemea na hitaji,je huenda huyu ndugu anauza bei ndogo ili apate hela hiyo aongezee na nyingine anunue kitu kingine,au pia ana shida ya ghafla na kimfaacho mtu ,ni kitu chake,pia huenda kakichoka tu.kuna mambo mengi au bado tuna imani zile za baba zangu miaka ya 40 ambapo ubora wa kitu unathamanisha na bei yake?kwa taarifa tu hebu muenda yale maduka ya pale Mlimani yanayouza Laptops linganisha na bei zake kwa model hizo hizo na zile zinazouzwa City Centre(zote ni genuine na zina warrant)hapo ndio mjue utofauti wa bei huchangiwa na vitu vingi na zaidi na mwenye kitu ndie anajua auze kitu chake kwa bei gani