Kwema jameni.
Nahitaji msaada kwa anaeelewa hii kitu: Nina IP Cameras ambazo naweza kuona footage nikiwa kwenye network.Using Mxeye, naweza kuona footage kwenye tablet,lakini nikitoka nje ya WIFI zilipo cameras sipati kitu.
Plz mwenye uelewa aniguide