...Have you installed those "many apps" in your iOS as well?I was suffering from using Android phone and tablet, after installing many apps and require synchronization of data in real time, the android system always lag/slow down.
Sometimes it gets hanged need to force reboot/reset.
I started using iPad mini 3 weeks ago and my experience is superb, no complaint at all, very fast, problems in android do not occur in iOS,
iOS apps are of good quality, many are free too.
I would like to say, iOS is much better than android.
hata hivyo vifaa vya android, sio google peke yake, manufactures wengine wanatengeneza vifaa vinavyo run android pia, kumbuka android ni OpenSource
kweli mkuu ndio maana sio fair kushindanisha hivo vitu viwili....
ios imetengenezwa kwa specific hardware zao apple watu wanalazimishaga kuweka kwenye pc lakini unaona inakuwa inarun vibaya....
hapa ubishi unaletwa tu na mapenzi na matumizi ya vifaa husika...
android open source. ios sio ni sawa mtu ashindanishe windows na linux
Ois ndio nini
hahahahaha bado upo kwenye window!!!!! hama huko
Na sasa kama una hii kitkat tumia runtime ya ART badala ya dalvik uone mziki wake kitu iko stable balaa
halafu unapata quality mbovu ya video
Kwanza kabisa Android is boring!!! Kuna kipindi nliskia watu wanaiponda ios kuwa boring kisa eti interface yake ni the same throughout, sasa tangu android ianze mpaka imefika kitkat, UI ni the same. Mimi niliwahi kuchezea S3 yaani mda mfupi tu niliiona kama haina ishu yoyote!! Android ni kama Windows tu katika pc, pc nyingi ni windows lakini in terms of perfomance Mac ni best, ndo vile vile katika mobile platforms, ios ni best so far, tena hii ios7 ndo kiboko.... Kama alivosema chief mkwawa, Android kulag ni nature yake, mi nasema kuwa Lag katika android ni special feature hasa haikosekani.
Then android ilivokuwa bomu sasa, yaani unakuta a device ina octacores, lakini perfomance mbovu kabisa, iphone yenye dual cores ina perform much better kuliko octa. Mi nahisi CPU architecture ni very important, yaweza kuwa una core 50 lakini ikashindwa in terms of perfomance na yenye 2 cores only.... Jambo jengine sasa pia kalisema Chief apo, android devices zipo nyingi sana, tena sana, hii ni disadvantage... Halafu bana wachina ni zaidi ya viboko, china mobile wanatoa S4, with the same quality, na same functionality, same physical appearance (tofauti ya s4 clone na original ni bezels, sasa hizi nazo zinaondolewa) itakuwa ni ngumu kuijua ipi original na ipi feki labda uchek IMEI.... Kitu IOS TU!!
I would like to say, iOS is much better than android.
iTunes Store inaweza kuwa different kutokana na Regions lakini hatuongelei 'application updates', kinachoongelewa hapo ni 'firmware updates'.. Mtumiaji wa iPhone aliyopo marekani na mtumiaji mwingine wa iPhone aliyopo Rombo Mashati, Tz anafanya update over the air kirahisiii!! Sasa twende kwenye Android, kama simu yako ipo na ICS jaribu kufanya OTA updates uone kama haijakwambia 'failed to update' au u are running the latest version of OS. Naelewa watumiaji wa Android wapo wengi lakini ninyi nyote ni mashahidi kuhusu maswala ya Lagging au Crashing, hili sio jambo la uongo au la kubisha, simu inawezakuwa na Octacore na GB 3 RAM ikawa na applications kumi tu lakini ikaStuck. Natumia galaxy note hapa ina QuadCore na 2 GB RAM lakini inaLag si mchezo. Sometimes unaona kabisa simu imezidiwa inakulazimu kuiRestart!! Maranyingi nikitaka kuEdit post zangu za JF, keyboard yake inachelewa kupanda,,Mi si watetei, kwasababu i`m not that of a samsung fan either... as to why wanatoa updates selectively i dont really knw, ila hata apple itunes store yao iko different kutokana na location (just pointing out)...