iOS 12.5.4 for Older Devices

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,437
5,146
Salaam Wadau,

Nimesikia fununu kuwa Apple wameachia Security Update kwa ajili ya Vifaa vyao vya zamani. Mfano simu ya 5s, Ipad 2 nk.
Kuna yeyote mwenye hizi news?

cc: Chief-Mkwawa
 
Salaam Wadau!
Nimesikia fununu kuwa Apple wameachia Security Update kwa ajili ya Vifaa vyao vya zamani. Mfano simu ya 5s, Ipad 2 nk.
Kuna yeyote mwenye hizi news?

cc: Chief-Mkwawa
Ni kweli mkuu kaiachia na ni urgent security update. Kuipata fanya hivi Settings > General > Software Update au download ipsw file update via itunes
 
Apa na iphone 6 plus lakini inatumia hiyo 12.5.4 ata twitter inakataa ku download mpka uwe na ios 13
 
Apa na iphone 6 plus lakini inatumia hiyo 12.5.4 ata twitter inakataa ku download mpka uwe na ios 13
Ukitaka kuidownload weka apple id yako kwenye simu kama iPhone x halafu rudi kwenye simu yako kisha download latest compatible app with your device
 
Aisee iPhone ndo wamefikia huko tena.
Ndio kawaida yao. Ndio maana Apple wana update simu zao kwa muda mrefu ili kuhakikisha unaweza download apps. Kwa Android hakuna haya mambo. Hata ukiwa na Android 5 Twitter inaingia freshy tu
 
Back
Top Bottom