Inzi asiyekubali kushauliwa huifuata maiti hadi kaburini:

busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,249
1,340
ed1c2aaf7c4be383ee947583c12ce1f2.jpg

MITHALI siku zote huwa na maana kubwa sana na fundisho pia kwa jamii husika ....

Hebu na tujifunze jambo fulani tokana na MITHALI hii ya kabila la Igbo toka kule Nigeria ....

Ingefaa zaidi tukiichukulia katika maisha ya kila siku lakini si sana kisiasa ....
 
Rejea post yangu ( original post ) uisome kwa UMAKINI hadi mwisho usome na ANGALIZO nilotoa ..... I'm quite sure after doing that and come to your senses, you'll never jump into conclusion before understanding something fully ....
 
UCHochezi
Maana na kusudio kubwa la hiyo mithali ya ki-Igbo ni kutusaidia sisi kama wanajamii kufahamu ili tuweze KUEPUKA madhara ambayo yaweza kutupata pale tunapokuwa WABISHI na kutokuwa tayari KUSHAULIWA ....

Mfano mtoto kwa wazazi/ walezi wake, mwanafunzi kwa walimu wake, mfanyakazi kwa bosi wake, mke kwa mumewe, mume kwa mkewe, muumin kwa kiongozi wake ama mwanajamii kwa jamii inayomzunguka ....

But tatizo letu tu wepesi kukimbilia mambo ya KISIASA na kuyaacha yale ya kila siku yanayotuzunguka
 
Awamu hii watu wamegeuka kuwa watabiri wapigaramli wanafasihi yaani ili mradi tu wamjadili baba yule sijui kawafanya nini
 
Maana na kusudio kubwa la hiyo mithali ya ki-Igbo ni kutusaidia sisi kama wanajamii kufahamu ili tuweze KUEPUKA madhara ambayo yaweza kutupata pale tunapokuwa WABISHI na kutokuwa tayari KUSHAULIWA ....

Mfano mtoto kwa wazazi/ walezi wake, mwanafunzi kwa walimu wake, mfanyakazi kwa bosi wake, mke kwa mumewe, mume kwa mkewe, muumin kwa kiongozi wake ama mwanajamii kwa jamii inayomzunguka ....

But tatizo letu tu wepesi kukimbilia mambo ya KISIASA na kuyaacha yale ya kila siku yanayotuzunguka
nina maana ya vijana wa lumumba waki0na hapa lazma wads
 
Back
Top Bottom