Invoice plane ni mfumo wa kipekee wa kuandaa quotes,invoice,kuhifadhi kumbu kumbu za biashara pamoja kufuatilia malipo.Mfumo huu unakuwezehsa kufanya yafuatayo:
Kuandaa quotations
Kuandaa invoice
Kuhifadhi taarifa za malipo yote na madeni
Kufuatilia utekelezaji ma majukumu,project tracking
Mfumo huu ni cloud hosted na unapatikana kwa gharama nafuu ya ya shiling 18500 tu kwa mwaka storage ya 1GB iwapo utahitaji zaidi kila GB 1 ni shilingi 1000 kwa mwezi hence 12000 kwa mwaka.
Uzuri wa Hii system unaweza itumie kutoka kwenye simu au kompyuta yoyte ile mradi uunganish
Iwapo unahitaji huduma hii piga simu +255222820024/+255717512851 au nicheck PM