Invitation to all JF members: Debate!


Mkuu Kimbunga nashukuru kwa nasaha zako ni kweli unavyosema ndio maana kuepusha shari niliamua kukaa kimya..

JF Daima.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nimekuelewa baada ya kudadavua juu ya kutoa report na kujua hali halisi ndani ya nyumba. Umenikumbusha kale kausemi kasemako SIRI YA MTUNGI AIJUE KATA. Kwa kuwa kata inaingia ndani ya mtungi basi inaujua vizuri mtungi badala ya kuuangalia mtungi kwa nje.
 
NasDaz Usisahau pia kuishi Temeke hakukufanyi ukayajua ya nchi nzima kwa uhalisi wake kama hupati taarifa kutoka kwenye media otherwise ukiishi Temeke ndio umeishi nchi nzima.
 
Last edited by a moderator:
Kimbunga mie nimeshafika nipo pembeni nasubiri Munakasha nimevaa miwani yangu ya 3D.
 
Last edited by a moderator:
14:07 gmt
nini kinaendelea, au mahakama imeingilia kati!!
 
mwali vp? ama zomba ndo yuko lumumba kutafuta madesa?
 
Last edited by a moderator:
Kimbunga mie nimeshafika nipo pembeni nasubiri Munakasha nimevaa miwani yangu ya 3D.

Kuna thread imeshaanzishwa kwenye jukwaa la great thinkers, ndo mjadala utakuwa huko
 
Last edited by a moderator:
mbona mjadala unachelewa kuanza, Matola nimemuona ila zomba sijui yu wapi au kaingia mitini?????
 
Last edited by a moderator:
Zomba kaingia mitini. Rais wake kasaini hupati mafao ya NSSF mpaka ufikishe miaka 55 wakati average life span ya mtanzania ni hardly 43 yrs.

na hapo ndo penye hasira sana manake ukweli Asprin sijui mtanzania ana nafuu wapi.
 
Last edited by a moderator:
Zomba kaingia mitini. Rais wake kasaini hupati mafao ya NSSF mpaka ufikishe miaka 55 wakati average life span ya mtanzania ni hardly 43 yrs.
no 35 yrs yaani sisi tunakula za wajukuu
 
Kimbunga mie nimeshafika nipo pembeni nasubiri Munakasha nimevaa miwani yangu ya 3D.

Mkuu Ritz kweli nimekuona kumbe uko hapo pembeni. Kwa mbaaaali namuona Rejao akijongea mjengoni. Tukimaliza Munakasha tuwe na Mchapalo kidogo kwa ajili ya kujenga mtandao.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…