The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,149
- 2,536
mnamsema Mvaa Tai sio?
We mpashunaku weee
Last edited by a moderator:
mnamsema Mvaa Tai sio?
huyu jamaa kakaa sana kimya...siyo kawaida yake!
Aliyemshika kamshika kikweli!
We mpashunaku weee
hahahaaaa...!! Ezan bana.maneno machache lakini yana "M" zinazozidi maneno yenyewe. mia
M nyingi kuliko maneno dah
Mambo vipi mkuu?. mia
Kuna kipindi niliwahi kufikiri Invisible ni mtu zaidi ya mmoja. Yaani namba ya threads, upana wa ufahamu n.k. Ukimya huu unathibitisha kweli ni mtu mmoja.