I am trying to do a series of small investments in this market but there is very little information with regards listed companies and their performance.
Ni wapi naweza pata forum ama sehemu ya mjadala kuhusu hisa haswa katika soko la hisa la Dar.
Kama mkenya naweza wekeza katika soko hili? Najua waTZ hawapendi Wakenya haswa na hili ndilo sababu nauliza.