Ngaramtoni
JF-Expert Member
- Sep 10, 2012
- 429
- 61
wadau nauliza kama kuna aliyeitwa kwenye hiyo nafasi hapo juu au bado hawajaita
Bab ako atakuwa anafanya PCCB...Umejuaje:bored:Bado hawajaita. Maombi yamejaa chumba kizima wanatafakari pa kuanzia.
Kuna jamaa aliambiwa na kaka yake kuwa maombi yako takribani 50k yamejaa chumba kizima hvyo amtumie tena maombi huyo kaka yake kwanjia ya Email ili amfanyie mpango
Kuna jamaa aliambiwa na kaka yake kuwa maombi yako takribani 50k yamejaa chumba kizima hvyo amtumie tena maombi huyo kaka yake kwanjia ya Email ili amfanyie mpango
Sioni hata jinsi baba yangu alivyoingia kwenye hii mada.
We kweli kilaza sasa uoni nini kwani umezibwa macho....Sioni hata jinsi baba yangu alivyoingia kwenye hii mada.
We kweli kilaza sasa uoni nini kwani umezibwa macho....