Investigating Final Audit Report | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Investigating Final Audit Report

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by IshaLubuva, Oct 12, 2010.

 1. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Can the final audit reports of the previous financial year already presented to AGM and resolution passed on it be investigated?
   
 2. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unajua auditors kazi yao ni kutoa upinion tu kwenye financial statements na si ku uncover frauds and other irregularities. So to them what matters is opinion. But there can be some issues related to fraud and other irregularities that may have come into attention after some period of time, there is where the issue of special audit arises. Kwenye irregularities mf. auditor alikuwa related to directors, not elected by shareholders etc. Kwahiyo mainly frauds na irregularities may lead to the renewal of the process. Ah imekuwa siku nyingi, am stand to be corrected.
   
 3. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 246
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mwenye kufahamu kifungu cha sheria kinachoongelea suala hili anijulishe tafadhal
   
 4. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Hakuna kifungu cha sheria kinachoongelea haya ila ni kwamba report hiyo inaweza kutumika kama ushaidi ktk kesi dhidi ya uongozi au viongozi wa makampuni, na hii ni pale tu ambapo kuna nguvu ya kisheria kufanya hivyo.
  Hii inatokana na ukweli kuwa baadhi ya mameneja huwa wanabadili information zilizopo kwenye record zao baada ya auditing kufanyika.
  Mie ni auditor na nimekutana na hayo japo siyo sana
   
 5. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 774
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 80
  Audit inafanyika kwa kufuata Accounting Standards husika. Sampling is one of the requirements...ie best practice zinasema kwamba endapo Auditor mwingine anakuja kufanya kazi ileile uliyofanya kwa kutumia sample ileile uliyotumia na audit approach kama yako, basi anatarajiwa kutoa the same opinion kama ile uliyoitoa wewe.... hazitakiwa zitofautiane!!!! Ila endapo auditor mwingine anatumia sample na approach tofauti na ya kwako, opinion zinaweza kutofautiana.
   
 6. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Isha, hizi issues mara nyingi zinakuwa facilitated na Supervisory Body au hata shareholders wa nchi inayohusika. Kwa Tanzania huwa ni NBAA na pia extent ya issue yenyewe inaweza kuattract interest za wadau wengine kisheria. Kwa mfano lile sakata la NICOL kwa TZ utaona namna bodies mbalimbali zilivyoshiriki kuhakikisha ripoti inatolewa yenye kuelezea uhalisia.
  Kwahiyo main reason ni professional malpractices ambazo baadhi nimezitaja hapo zinaextend mpaka kwenye integrity, independence (appointment ya auditors) etc ni nyingi kwa kweli labda uquote sections za standards na uexplain km zikiwa violated.
  Kwahiyo practically areas ambazo zinazoweza kusababisha investigations ni;
  1. Auditors wenyewe; Negligence or other professional malpractice.
  2. Management yenyewe; Collusion, fraud and other inconsistencies
  3. Special needs
  Lakini pia unaweza kufuata hii link ukaona mfano wa recent issues ambazo zilikuwa investigated;
  Ernst & Young investigated over Lehman audit - Telegraph
  Note; Nakaribisha kukosolewa
   
Loading...