Acheni kuwaita! Washaona nyie ni wauza unga!!! Yani mnatia aibu kweli, hata nchi jilani mnashindwa kwenda kutalii muone hayo maajabu ya dunia, ule mlima ni Rwanda nahamuwezi kuujuwa kwa sababu Rwanda hakuna soko la unga... Paka mpewe vifurushi vya unga ndio mtoke Bongo!
Dah... Ndio maana jMali anaweza kuwanywesha sumu kirahisi rahisi, na bado...endeleeni kujianika.
Taratibu tu tutaelewana. Hakuna haja ya kupanic bro. Namuita tu ili tukamatane vizuri maana njia ya muongo ni fupi.
Unadai unaujua, hebu tupe link moja tu ambayo tutaipata hiyo picha inayoonyeshwa katika hiyo video, au hata picha uliyopiga wewe mwenyewe.
All I can see is a hill with sharp top like knife edge not even closer to the one ur advertising on that video lol....
lol... na bado mtachonga sana, wakati mnaowaona wajanja wameiba mpaka panadol hospitalini, hakika utakuwa unaumwa wewe
Na nadhan iyo picture itakua ya late 60s ambapo wale jamaa wajachafua mazingira watakua hawakuepo.Maana ndg zenu wa single visa wangeshawatangaza mda sana.
fanya mchezo na vikete... utaishia kudhania mpaka kufa kwako! kumbe kelele zote hata Rwanda hampajuwi? endeleeni kutegemea habari kutoka kwa jMali, come 2020 hatutawaruhusu kuja kuruka ukuta huku kama mlivyo wapa tabu bondeni(SA)