Acheni kuwaita! Washaona nyie ni wauza unga!!! Yani mnatia aibu kweli, hata nchi jilani mnashindwa kwenda kutalii muone hayo maajabu ya dunia, ule mlima ni Rwanda nahamuwezi kuujuwa kwa sababu Rwanda hakuna soko la unga... Paka mpewe vifurushi vya unga ndio mtoke Bongo!
Dah... Ndio maana jMali anaweza kuwanywesha sumu kirahisi rahisi, na bado...endeleeni kujianika.
Kata mziz wa fitina weka picha..