Invest in Rwanda

Invest in Rwanda

Kwa maana hiyo hata ukifungua kitu kama mlimani city pale kigali, watakuja watoto wawili watatu wa kagame na mushikiwabo halafu utabaki peke yako na midoli yako....

MKUU UKO SAHII KUNA MTU ALIANDIKA HIVI KULE RWANDA

Although more companies get registered in Rwanda every year, not many celebrate their second birthday.

YANAKUFA KWA KUKOSA SOKO!!!!!

WATU WANADANGANYIKA NA UHARAKA WA USAJILI WANASAHAU KUWA KULE UMASKINI NI MKUBWA SOKO LA BIDDHAA NI DOGO LA WATU WACHACHE WA VIONGOZI NA WATOTO WAO WA KIGALI.

Idadi ya makampuni yanayofungasha virago mwaka mmoja tu toka yaanzishwe RWANDA ni kubwa Rwanda KULIKO NCHI YEYOTE YA AFRIKA MASHARIKA.
 
Nadhani ili tangazo lilutakiwa liwe siri hasa kwa watanzania...sasa huyu kalikurupua anakojua kuwaletea watanzania...
Inabidi wafikirie kutafuta maafisa marketing wapya...
Hii si mara ya kwanza kutuletea thread za kujikaanga kwa mafuta yao wenyewe...

Kama vipi wakadai ela yao kwa huyo mzugu alowatengenezea...te te te
 
MKUU UKO SAHII KUNA MTU ALIANDIKA HIVI KULE RWANDA

Although more companies get registered in Rwanda every year, not many celebrate their second birthday.

YANAKUFA KWA KUKOSA SOKO!!!!!

WATU WANADANGANYIKA NA UHARAKA WA USAJILI WANASAHAU KUWA KULE UMASKINI NI MKUBWA SOKO LA BIDDHAA NI DOGO LA WATU WACHACHE WA VIONGOZI NA WATOTO WAO WA KIGALI.

Idadi ya makampuni yanayofungasha virago mwaka mmoja tu toka yaanzishwe RWANDA ni kubwa Rwanda KULIKO NCHI YEYOTE YA AFRIKA MASHARIKA.
Rwanda averaged 7% GDP growth for the last 10 yrs...so you think hiyo growth inatoka matakoni kwako?
 
hatua stahiki ni rahisi tu, na sisi kutengeneza movie kama hiyo kuwaambia watu mt. kilimanjaro is not in Rwanda, you can never find it in kigali, come to tz. pia waambiwe serengeti na hao simba wapo tz sio rwanda. hapo patakuw apatamu.kama kamanda mmoja hapo juu, walichotuzidi rwanda ni wanawake tu, ila vingine hawana.
Huna haja ya kuhangaika nao mkuu, hao watalii wakifika kigali sasa ndipo wataanza kuomba wapelekwe mlimani hapo watashangaa kuombwa viza na malipo mengine. Hizo mbwembwe wamezifanya sana wakenya lakini kwasasa wamezidiwa cha msingi ni kuhakikisha hatutii mguu kwenye hiyo single tourist visa yao.
 
I wouldn't; for the following reasons
1. I have a fobia for dictators and genociders like PK
2. To invest in Rwanda is to excel in looting natural resources from all neighboring countries
3. Rwanda's economy is a bubble waiting to bust because it is a dictatorship and looting based economy.
4. if DRC & Tanzania can effectively control their borders and eliminate high level corruption; read my lips, Rwanda will implode.

1. I have a fobia for countries riddled with corruption where the citizens are denied their basic needs...
2. DRC and Tanzania will NEVER eliminate high level corruption hence your wishes of Rwanda imploding is just that. WISHES.
 
MKUU UKO SAHII KUNA MTU ALIANDIKA HIVI KULE RWANDA

Although more companies get registered in Rwanda every year, not many celebrate their second birthday.

YANAKUFA KWA KUKOSA SOKO!!!!!

WATU WANADANGANYIKA NA UHARAKA WA USAJILI WANASAHAU KUWA KULE UMASKINI NI MKUBWA SOKO LA BIDDHAA NI DOGO LA WATU WACHACHE WA VIONGOZI NA WATOTO WAO WA KIGALI.

Idadi ya makampuni yanayofungasha virago mwaka mmoja tu toka yaanzishwe RWANDA ni kubwa Rwanda KULIKO NCHI YEYOTE YA AFRIKA MASHARIKA.

As your interahamwe coleague jMali likes to say FACTS DUDE....FACTS. usilete hisia zako hapa kwenye jukwaa la wasomi. Na kama huna then shut the f%&k up.
 
Last edited by a moderator:
Nimejifunza Rwanda na wananchi wake ni watu wadogo sana kwa sisi Watanzania kuanza kubishana nao. HATUWAOGOPI TUNAWADHARAU.
 
Dah jmali babaa naona unaifunua tu Rwanda, kazi kwelikweli
 
Nilipoona Mt Kilimanjaro Nikaanza kuwaza Kama Inawezekana majority ya izo picha either ni project za kwenye pipeline au zipo nje ya Rwanda.

Hivi nyie wabongo ni kitu gani kinachowafanya mjidhalaulishe? Yani kweli mmeuona mlima kilimanjaro kwenye hii video? Lazima mtakuwa mmechanganyikiwa maana wabongo nnaowajuwa mimi hawana ailki za hivyo, kuna mwenzako mwingine yeye kasema ile Lake Kivu eti ni Indian Ocean, Lol! Kwa taarifa yako ule mlima unaitwa Muhabura, muulize jMali atakuthibitishia.
Ile video ni 100%, kitu tulichokuwa tumekosa ni Simba na zenyewe wachunga N'gombe waliziuwa kutokana na kuwalia mifugo yao ila hivi tumezungusha fence kwenye mbuga zote baada ya ndugu zetu wakenya kutupa Simba(mbegu) najua tungewaomba nyie ndugu zetu wabongo mngerusha, wakati kila siku mnazipandisha ndege kuzipeleka uarabuni(jangwani) yaani nyie bwana tokea mlipo wapokea kina jMali na kuwatega masikio basi ndio mmeharibikiwa kweli kweli.
 
Zikifungwa chanel za congo awana cha ziada
 
Msije kuwaambia watalii that was Muhabura mountain. Wakikuuliza iyo picha mliipiga msim gan au mwaka gan mt muhabura ulikua na barafu yote hii sijui mtawaambiaje .. Oh let me gues the ans itakua. Intarahamwe wameharibu mazingira ya ilo eneo xo barafu imeyeyuka.
 
Hawa jamaa sio kabisa soon yule msoja akiondoka wanaanza kupambana wenyewe kwa wenyewe

kama mlisikia majuzi kuna maiti zimekutwa pembezoni mwa vijito zikiwa ndani ya vifurusshi

sio rahisi kuwekeza kule na kuwa na amani ...
 
Msije kuwaambia watalii that was Muhabura mountain. Wakikuuliza iyo picha mliipiga msim gan au mwaka gan mt muhabura ulikua na barafu yote hii sijui mtawaambiaje .. Oh let me gues the ans itakua. Intarahamwe wameharibu mazingira ya ilo eneo xo barafu imeyeyuka.

imeyeyukia wapi

ilimwagikia Goma yote

kwi kwi kwi
 
Hivi nyie wabongo ni kitu gani kinachowafanya mjidhalaulishe? Yani kweli mmeuona mlima kilimanjaro kwenye hii video? Lazima mtakuwa mmechanganyikiwa maana wabongo nnaowajuwa mimi hawana ailki za hivyo, kuna mwenzako mwingine yeye kasema ile Lake Kivu eti ni Indian Ocean, Lol! Kwa taarifa yako ule mlima unaitwa Muhabura, muulize jMali atakuthibitishia.
Ile video ni 100%, kitu tulichokuwa tumekosa ni Simba na zenyewe wachunga N'gombe waliziuwa kutokana na kuwalia mifugo yao ila hivi tumezungusha fence kwenye mbuga zote baada ya ndugu zetu wakenya kutupa Simba(mbegu) najua tungewaomba nyie ndugu zetu wabongo mngerusha, wakati kila siku mnazipandisha ndege kuzipeleka uarabuni(jangwani) yaani nyie bwana tokea mlipo wapokea kina jMali na kuwatega masikio basi ndio mmeharibikiwa kweli kweli.
nimeamini wanyarwanda ni matakataka. hivi jamaa nakataa kuwa huo si mlima kilimanjaro, mlima muhabura kuna theluji?hahahaha. dah, kweli hawa wezi wamewaibia sana congo na kukataa kuwa wezi. hata hapa anabisha.....
 
wewe unayebisha kuwa huo sio mlima kilimanjaro, angalia ukifika 1.16 kwenye hiyo clip. huo ni mlima kilimanjaro. na hao wanyama sijui wamewaiba wapi.
 
Eti murutongore huo mlima unaonyeshwa hapo ni Ml. Kilimanjaro au Ml. Muhabura? Mmh, inafanana kwelikweli!!!
 
Last edited by a moderator:
Eti murutongore huo mlima unaonyeshwa hapo ni Ml. Kilimanjaro au Ml. Muhabura? Mmh, inafanana kwelikweli!!!

Acheni kuwaita! Washaona nyie ni wauza unga!!! Yani mnatia aibu kweli, hata nchi jilani mnashindwa kwenda kutalii muone hayo maajabu ya dunia, ule mlima ni Rwanda nahamuwezi kuujuwa kwa sababu Rwanda hakuna soko la unga... Paka mpewe vifurushi vya unga ndio mtoke Bongo!
Dah... Ndio maana jMali anaweza kuwanywesha sumu kirahisi rahisi, na bado...endeleeni kujianika.
 
Taratibu tu tutaelewana. Hakuna haja ya kupanic bro. Namuita tu ili tukamatane vizuri maana njia ya muongo ni fupi.
Unadai unaujua, hebu tupe link moja tu ambayo tutaipata hiyo picha inayoonyeshwa katika hiyo video, au hata picha uliyopiga wewe mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom