KARIA JF-Expert Member Jan 15, 2011 717 472 Dec 2, 2012 #1 Nimeangalia mpira wa Sunderland na Norwich umenifurahisha sana! Ila nimeboreka na Sunderland, jezi zao zimeandikwa INVEST IN AFRIKA! Ndio maana wamefungwa manina zao!
Nimeangalia mpira wa Sunderland na Norwich umenifurahisha sana! Ila nimeboreka na Sunderland, jezi zao zimeandikwa INVEST IN AFRIKA! Ndio maana wamefungwa manina zao!
CharmingLady JF-Expert Member Apr 16, 2012 18,255 12,872 Dec 2, 2012 #2 duh pole mkuu... but punguza ukali wa maneno..
Watu8 Platinum Member Feb 19, 2010 71,018 94,063 Dec 2, 2012 #3 mbona hayo maneno si kwamba yana kasoro, "Invest in Africa" kwani ina maana mbaya au umeielewa vibaya??
mbona hayo maneno si kwamba yana kasoro, "Invest in Africa" kwani ina maana mbaya au umeielewa vibaya??