Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
😀😀Tunaongelea jenereta afodabo mkuu, 20m?
Ahaaa! Kumbe nyie mnaongelea mtoto wa genereta eeh! Bac sawa.
😀😀Tunaongelea jenereta afodabo mkuu, 20m?
[emoji115] [emoji116]Mkuu, 20M kwa generator tu? Tena kwa matumizi ya nyumbani? Well too much.
Tunaongelea jenereta afodabo mkuu, 20m?
Mkuu, 20M kwa generator tu? Tena kwa matumizi ya nyumbani? Well too much.
Nimekuwa na Generator kwa miaka 5 sasa lakini pia nimenunua inverter kwa ajili ya incubator ya watts 120 nimeona tofauti kidogo. Nashauri kama una fedha bora nunua inverter kwani haina kelele na hutahitaji kununua petrol mara kwa mara.
Nimeshindwa ku run G kwa sababu mafuta yanapanda na ukiwasha generator kwa masaa 4 lazima itatumia lita 2 na nusu za petrol ila inverter ukishaicharge kwa charger ya volt 12 unatumia kirahisi.
Ila nashauri kama unataka kununua inverter kwa ajili ya matumizi ya nyumba nzima nunua ya watts 2000 ambayo ni kwenye laki 750,000 na betri yake laki 200 na charger laki na 30 hivi. kama umeme haukatiki zaidi ya mara moja kwa wiki hamna haja ya kununua solar. Ila kama unakatika kuanzia siku 3 hadi 4 kwa wiki ni bora ununue solar kwani hutaweza ku charge na kutumia.
Ni uzi wa siku nyingi sana, nilikiwa nafuatilia nyuzi za Tundapoti/Tinded ndipo nikaufuma.sijui nilichelewa wapi kuuona uzi huu. hapa ni kipindi JF ni tulivu.