mtamanyali
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 1,161
- 616
jamani wadau naombeni msaada. mimi natumia sumsung chat GT-C3222 kila nikidownload software kama vile operamin inaniambia invalid downloaded jar tafadhali nisaidieni.
Ni samsung halisi au mchina
Ni samsung halisi au mchina
samsung anatengeneza simu za java then hazisupport karibia 90% ya java apps zimetengenezwa kwa ajili ya nokia inakua ni kama coincidence tu kutokea kufanya kazi kwenye samsung.
Ikiandika invalid jar file ina maana hilo file la jar halipo compatible na simu yako better utafute website inayotambua aina za simu wakati wa kudownload
Pia jengine la muhimu kumbuka simu yako ni 320x240 (kioo kipana kuliko urefu) na apps za java nyingi ni 240x320 (ndefu kuliko upana) so wakati unatafuta apps ulieke kwenye consideration maana za 240x320 zinaweza kuandika invalid pia

bt still pocbo kuchange screen resolution using class editor
samsung anatengeneza simu za java then hazisupport karibia 90% ya java apps zimetengenezwa kwa ajili ya nokia inakua ni kama coincidence tu kutokea kufanya kazi kwenye samsung.
Ikiandika invalid jar file ina maana hilo file la jar halipo compatible na simu yako better utafute website inayotambua aina za simu wakati wa kudownload
Pia jengine la muhimu kumbuka simu yako ni 320x240 (kioo kipana kuliko urefu) na apps za java nyingi ni 240x320 (ndefu kuliko upana) so wakati unatafuta apps ulieke kwenye consideration maana za 240x320 zinaweza kuandika invalid pia
chief hii kitu mm nshajaribu mpaka nimechoka kabisa. Unakuta simu inakuwa detected kabisa kuwa ni samsung aina fulani lakini bado inafeli. Hakuna hata app 1 inayokubali hata 1!!! inamaana hii cm haiko compatible na app zoote hizo? Kuhusu resolution sio tatizo sana ingawa ina-mata. Nlijaribu jutengeza simple JAR app ambayo iko empty kwa kutumia screen za saiz tofauti lakini bado napata the same messsage!!!!
Website nyengine wanafanya grouping ya simu na hawajatest kabisa kua apps inafanya kazi na simu hio.
hebu jaribu kudownload website kama mobilerated then nambie inakataa?