Karibu, uwe baroz mwema kwa jamii inayokuzunguka. Binafsi nimeleta vijana kadhaa humu ndani.Hey wakuu, Mambo vipi! Aisee baada ya kua mchunguliaji humu ndani kwa takribani miaka sita nmeamua rasmi sasa kuregister naombeni mnipokee mgeni mwenyeji
Asante sana mkuu nitazingatia hillKaribu, uwe baroz mwema kwa jamii inayokuzunguka. Binafsi nimeleta vijana kadhaa humu ndani.
Karibu sana
Asante sana #ledadaKaribu sana mkuu