Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,576
Mi mgeni humu nikaribisheni
Karibu sana ukipata shina yoyote humu nipmMi mgeni humu nikalibisheni
OK thanksKaribu sana ukipata shina yoyote humu nipm
Karibu.kama wewe hata humu wamoMi mgeni humu nikalibisheni
Hajui mAana ya pmKaribu sana ukipata shina yoyote humu nipm
Kajibu thanks while mm nilikua nahitaji aulize maana yakeHajui mAana ya pm
Pm means what??!!OK thanks
Inamaanisha nn?!Hajui mAana ya pm
A.Prime Minister B.Post Meridian C.Personal MailPm means what??!!
Nilikuwa naogopa labda mngenichekaKajibu thanks while mm nilikua nahitaji aulize maana yake
AA.Prime Minister B.Post Meridian C.Personal Mail
Chagua jibu sahihi
Kwa matumizi ya uzi huu umekosa.Nipe mji.....
Nendaaaa......rock cityKwa matumizi ya uzi huu umekosa.Nipe mji.....
Duuu...Haa haaa.Ngoja nifikirie kwanza
Big NO!uMESHAWAHI KUSOMA KITABU CHA INTODUCTION TO bIOLOGY?
Jibu ni c personal mailHaa haaa.Ngoja nifikirie kwanza
YapJibu ni c personal mail
Basi karibu,tufanye tafakuri jadidiBig NO!