Introducing: Viber for Windows and Mac

Bro umeniacha hapo kwenye ku jailbreak let me google..
 
Mkuu Young Master Hii mpak uwe na simu yenye Wifi ndio inakubali nimeshaiweka tangu juzi inaniuliza simu ya mkono yenye Wifi kama huna haitokubali kufanya kazi asante kwa ushauri wako.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Young Master Hii mpak uwe na simu yenye Wifi ndio inakubali nimeshaiweka tangu juzi inaniuliza simu ya mkono yenye Wifi kama huna haitokubali kufanya kazi asante kwa ushauri wako.

Ndio maana nimeandika pale juu lazima uwe na simu yenye viber otherwise haitakubali. Na huu ni mwanzo tu. maybe mbeleni wataiboresha zaidi iweze kufanya kazi bila ku sync kutoka kwenye cmu yako ya mkononi.
 
Katika picha uliyoweka hapo juu kwenye post yako inaonyesha kama vile viber ina-support video calling, je ni kweli?

Ndio mkuu. Viber for Windows and Mac inasupport:

  • Best-quality HD voice calls
  • Video calls
  • Free text and photo messages
  • Group conversations
  • Contacts and messages sync between your mobile and Windows
  • Transfer ongoing calls between devices
 
Nijuavyo viber kwa blackberry ni texting only vouce haifanyi bado
 
Nijuavyo viber kwa blackberry ni texting only vouce haifanyi bado

Sijawahi kuitest Viber kwenye BlackBerry but for Android it works just fine. Alternatively unaweza kuinstall Viber kwenye PC yako ya kumake Voice and Video calls kama vile upo kwenye simu yako.
 
Sijawahi kuitest Viber kwenye BlackBerry but for Android it works just fine. Alternatively unaweza kuinstall Viber kwenye PC yako ya kumake Voice and Video calls kama vile upo kwenye simu yako.
Naitumia kwenye android. ..I was just clearing someone's doubt on viber for blackberry.

BlackBerry is so 2000 late, its just waste investment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…