M mlowe New Member Dec 9, 2010 3 0 Dec 11, 2010 #1 Hodi wanajamii wote naomba mnipokee. Kwa ujumla nafurahishwa sana jinsi mnavyobadishana mawazo na kujenga dhana zenye mantiki na mguso kwa jamíi. Hongereni
Hodi wanajamii wote naomba mnipokee. Kwa ujumla nafurahishwa sana jinsi mnavyobadishana mawazo na kujenga dhana zenye mantiki na mguso kwa jamíi. Hongereni
fige JF-Expert Member Jul 4, 2010 376 61 Dec 11, 2010 #2 karibu sana ni vema ukasoma maelekezo ya matumizi ya jamvi hili ili uweze kulitimia ipasavyo.