Into the badlands season 1&2 special thread

Hapa ninahamu nannaisubiria episode ya 4 nahisi leo inatoka
Mkuu mbona now ipo epsode 5, Tilda na Mama yake wanaungana, M.K anaungana na yule black plugjam kama sijakosea jina lake then soon Suuny ata join kwa yule black.... Epsode six itakuwa fireeeeee
 
Kadili inavyokwenda nazidi kuikubali ep5 nishaifuta Nasubiri ya 6
 
Mimi nimeangalia mpaka season 3 episod ya tano baji na sani wapo hai na wako pamoja muda wote na yule mtoto mchanga wa sani anaumwa sana hali sio shwari ila saeson 3 ndio noma kuliko season 1&2
 
Mimi nimeangalia mpaka season 3 episod ya tano baji na sani wapo hai na wako pamoja muda wote na yule mtoto mchanga wa sani anaumwa sana hali sio shwari ila saeson 3 ndio noma kuliko season 1&2
Kadili inavyokwenda inazidi kunoga
 
"I have come to offer you salvation, all I ask in return is that you lay down your weapons and submit to your messiah"

Niliyapenda sana hayo maneno ya Pligrim ila sijui yapo kwenye season ipi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom