Unawachokoza.....wenyewe wanaamini hao ni viumbe hai kama viumbe vingine...Jamaa wanafuga majini hawa
njoo mtaani kwetu ujionee, jamaa ana supa maketi ya majini, hata ukitaka jini la kinyaturu unapataBujibuji kwanini unaamini majini wanafugwa? Ushawahi kumuona jini?