Interview za Necta

Kyara Atufigwe

Senior Member
Mar 29, 2015
120
68
Wadau mwenye kufahamu lolote kuhusu interview za ajira Baraza la mitihani (NECTA) anisaidie tafadhali.
 
Tahadhari kwa ninyi mnaoomba no, Naona pole pole mnaanza kujisogeza site Watawatapeli sasa hivi, muwe makini mkipiga simu, wakishaanza habari za una sh ngapi nikubebe hapo ndo hekima itumike zaidi
 
Back
Top Bottom