Rashid Athumani
Member
- Jan 1, 2014
- 63
- 42
Walikupigia lini@kyagata?morogoro sijajua..me mwenyewe niliomba arusha lakini nimeitwa dar.
Walikupigia lini@kyagata?morogoro sijajua..me mwenyewe niliomba arusha lakini nimeitwa dar.
Blaza hawa jamaa wamekucheki hewan maana walisema training inaanza j3 .....tuchekiane inbox mkuu mi poa nilipiga usili pae tanhousendio mkuu wameniita.
hawakunicheck...na sidhani kama watanicheck maana niliwachana pale palw kuwa mimi mshahara wao wa buku ten kwa siku sitakua tayari kufanya nao kazi.Blaza hawa jamaa wamekucheki hewan maana walisema training inaanza j3 .....tuchekiane inbox mkuu mi poa nilipiga usili pae tanhouse
Hahahaha itakuwa ndio ww ambae hukuchukua dakika 10 mle ndani nn ? Blaza we noma sanahawakunicheck...na sidhani kama watanicheck maana niliwachana pale palw kuwa mimi mshahara wao wa buku ten kwa siku sitakua tayari kufanya nao kazi.
yeah..ndio mimi mkuu,ckuona umuhimu wa kuendelea kukaa kunegotiate nao wakati walishinichana kua mshahara ni buku ten kwa siku..hata wenyewe walivoniuliza mahali ninapofanya my part time job wananilipa bei gani nilivowaambia wakanijibu kuwa sidhani kama wataweza kunilipa kiasi hicho..ndio tukaagana mapema tu wakasema wangepiga simu siku hiyi hiyo jion ila mpaka sasa hawajanipigia so nimejihesabu kuwa niko disqualified.Hahahaha itakuwa ndio ww ambae hukuchukua dakika 10 mle ndani nn ? Blaza we noma sana
Nilikuwa natafuta sababu ya kutokuitwa na hawajamaa baada ya interview, waliniuliza kwenye mishe zangu za town naingia bei gani per day, nikawaambia buku 1 minimum nilikuwa cjajua wanatoa bei ganiyeah..ndio mimi mkuu,ckuona umuhimu wa kuendelea kukaa kunegotiate nao wakati walishinichana kua mshahara ni buku ten kwa siku..hata wenyewe walivoniuliza mahali ninapofanya my part time job wananilipa bei gani nilivowaambia wakanijibu kuwa sidhani kama wataweza kunilipa kiasi hicho..ndio tukaagana mapema tu wakasema wangepiga simu siku hiyi hiyo jion ila mpaka sasa hawajanipigia so nimejihesabu kuwa niko disqualified.
Tunaishi tu! bajeti inatuhusuElfu 10 unaishije sasa?
wakati wale waajiriwa wenyewe wanalipwa laki 6Intern anataka kulipwa Tzs.1,500,000/= ooh! dear me!
wako Victoria. kuna jengo jipya limefunguliwa pale barabarani kabisa na wao wamehamia hukoFinca ipo wapi?nataka kupeleka barua ya field wanapokea?bba in account
jengo linaitwa Tan house.wako Victoria. kuna jengo jipya limefunguliwa pale barabarani kabisa na wao wamehamia huko
Ah si bado hawajaita mzee usivunjike moyo ... Ktk mishe zako ukiingiza buku 1 na buku 10 la finca si unapanda chat blaza ....Nilikuwa natafuta sababu ya kutokuitwa na hawajamaa baada ya interview, waliniuliza kwenye mishe zangu za town naingia bei gani per day, nikawaambia buku 1 minimum nilikuwa cjajua wanatoa bei gani
Kumbe wanatoa 10? Ndy maana wamenitosa mapemaaaa
Mm nimeshapiga mpk interview na majibu nimepata, nimerudi kitaani kuendelea na harakati za mtu mweusiAh si bado hawajaita mzee usivunjike moyo ... Ktk mishe zako ukiingiza buku 1 na buku 10 la finca si unapanda chat blaza ....
Ah walikuita kumbee ! Ila kitu cha ten ndio msalaa hainaga shanapa majaa wanazingua malipoMm nimeshapiga mpk interview na majibu nimepata, nimerudi kitaani kuendelea na harakati za mtu mweusi