Huko mtafanya interview lini maana kuna Dogo langu yy kaitwa mwanza interview tarehe 1/3niliomba mkoa wa arusha lkn wameniambia interview itafanyikia dar
kuna jamaa yangu wa Dar anasema wameambiwa tarehe 03 March.Huko mtafanya interview lini maana kuna Dogo langu yy kaitwa mwanza interview tarehe 1/3
Sio mbaya kuliko akae nyumban akingoja ugali wa kengelenafasi gani umeitwa kama ni zile za sales jiandie kukutana na buku ten per day
Okmorogoro sijajua..me mwenyewe niliomba arusha lakini nimeitwa dar.
Kwani walisema uchague sehemu ya kufanyia kazi au walisema uandike unapokaa kwa sasa?