Interview ya utumishi tar. 15 - 18/05/2012 matokeo lini mana jf

Punguza mzuka na vuta subira huwa inawachukua muda kwa watu wa serikalini ukizingatia huu ni mwezi wa bajeti.....wiki 2 bado sana labda mwezi wa saba ndio wataita...fuatilia pia website yao ya utumishi huwa wanatoa matangazo kwa walioitwa kazini
 
Mkuu hiyo ya tarehe 15-18 May itakuwa bado sana maana hata waliofanya ile Interview ya tarehe 18-21 April bado wapo kitaa nadhani. Be patient bro!! hayo ndo mambo ya serikali na hapo unaweza kukuta hadi bajeti hii ipite halafu watu wataitwa.
 
serikali ya kizembe sana tangu April tunasubiri tu,na wao wanazidi kutangaza kazi zngne bila kuita wa 1st tym,hii maana yake nini??!hata kama kuita kazini itakua mwezi wa nane cha msingi ni kutoa matokeo ya interview watu tujue mbivu na mbichi tujue la kufanya..
 
Wakuu mbona watu washaanza kazi, nyie bado mnasubiria tu. Ukiona manyoya ujue tayari kshaliwa huyo.
 
Back
Top Bottom